Musa akaenda akawaita wazee wa watu, akawafunulia maneno hayo yote, BWANA aliyokuwa amemwagiza.
Kutoka 4:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Haruni akawaambia maneno yote BWANA aliyonena na Musa akazifanya zile ishara mbele ya watu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aroni akawaambia maneno yote Mwenyezi-Mungu aliyokuwa amemwagiza Mose, na kuifanya ile miujiza mbele ya watu wote. Biblia Habari Njema - BHND Aroni akawaambia maneno yote Mwenyezi-Mungu aliyokuwa amemwagiza Mose, na kuifanya ile miujiza mbele ya watu wote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aroni akawaambia maneno yote Mwenyezi-Mungu aliyokuwa amemwagiza Mose, na kuifanya ile miujiza mbele ya watu wote. Neno: Bibilia Takatifu naye Haruni akawaambia kila kitu Mwenyezi Mungu alichokuwa amemwambia Musa. Pia akafanya ishara mbele ya watu, Neno: Maandiko Matakatifu naye Haruni akawaambia kila kitu bwana alichokuwa amemwambia Musa. Pia akafanya ishara mbele ya watu, BIBLIA KISWAHILI Haruni akawaambia maneno yote BWANA aliyonena na Musa akazifanya zile ishara mbele ya watu. |
Musa akaenda akawaita wazee wa watu, akawafunulia maneno hayo yote, BWANA aliyokuwa amemwagiza.
Musa akajibu akasema, Lakini, tazama, hawataniamini, wala hawataisikia sauti yangu; maana watasema, BWANA hakukutokea.
Nawe utasema naye, na kuyatia maneno kinywani mwake; nami nitakuwa pamoja na kinywa chako, na pamoja na kinywa chake, na kuwafundisheni mtakayofanya.
Naye atakuwa msemaji wako kwa watu, hata yeye atakuwa mfano wa kinywa kwako, nawe utakuwa mfano wa Mungu kwake.