Sulemani akavitengeneza vyombo vyote vilivyokuwamo nyumbani mwa BWANA; madhabahu ya dhahabu, na ile meza iliyokuwa na mikate ya wonyesho juu yake ilikuwa ya dhahabu;
Kutoka 39:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na meza, na vyombo vyake vyote, na mikate ya wonyesho; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema meza na vyombo vyake vyote, mikate iliyowekwa mbele ya Mungu; Biblia Habari Njema - BHND meza na vyombo vyake vyote, mikate iliyowekwa mbele ya Mungu; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza meza na vyombo vyake vyote, mikate iliyowekwa mbele ya Mungu; Neno: Bibilia Takatifu meza pamoja na vyombo vyake vyote, na mikate ya Wonesho; Neno: Maandiko Matakatifu meza pamoja na vyombo vyake vyote na mikate ya Wonyesho; BIBLIA KISWAHILI na meza, na vyombo vyake vyote, na mikate ya wonyesho; |
Sulemani akavitengeneza vyombo vyote vilivyokuwamo nyumbani mwa BWANA; madhabahu ya dhahabu, na ile meza iliyokuwa na mikate ya wonyesho juu yake ilikuwa ya dhahabu;
na kinara cha taa safi, na taa zake, hizo taa za kuwekwa mahali pake, na vyombo vyake vyote, na mafuta ya taa,
Nawe utatwaa unga mwembamba, na kuoka mikate kumi na miwili ya huo unga; sehemu za kumi mbili za efa, zitakuwa katika mkate mmoja.
Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaila mikate ile ya wonyesho, ambayo si halali kwake kuila wala kwa wale wenziwe, ila kwa makuhani peke yao?