Kutoka 36:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Naye akafanya mbao mbili kwa pembe za maskani upande wa nyuma. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alitengeneza pia mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma. Biblia Habari Njema - BHND Alitengeneza pia mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alitengeneza pia mbao mbili kwa ajili ya pembe za hema upande wake wa nyuma. Neno: Bibilia Takatifu na mihimili miwili ikatengenezwa kwa ajili ya pembe za Maskani za upande uliokuwa mbali. Neno: Maandiko Matakatifu na mihimili miwili ikatengenezwa kwa ajili ya pembe za maskani za upande uliokuwa mbali. BIBLIA KISWAHILI Naye akafanya mbao mbili kwa pembe za maskani upande wa nyuma. |
Nazo zilikuwa mbao pacha upande wa chini, vivyo hivyo zilishikamana pamoja hata ncha ya juu kufikia pete ya kwanza; ndivyo alivyofanya zote mbili katika hizo pembe mbili.