Kutoka 36:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na vitako vyake vya fedha arubaini; vitako viwili chini ya ubao mmoja, na vitako viwili chini ya ubao mwingine. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na vikalio vyake arubaini vya fedha; vikalio viwili chini ya kila ubao. Biblia Habari Njema - BHND na vikalio vyake arubaini vya fedha; vikalio viwili chini ya kila ubao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na vikalio vyake arubaini vya fedha; vikalio viwili chini ya kila ubao. Neno: Bibilia Takatifu na vitako arobaini vya fedha, viwili chini ya kila mhimili. Neno: Maandiko Matakatifu na vitako arobaini vya fedha, viwili chini ya kila mhimili. BIBLIA KISWAHILI na vitako vyake vya fedha arobaini; vitako viwili chini ya ubao mmoja, na vitako viwili chini ya ubao mwingine. |