Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili, zilizounganywa pamoja; ndivyo alivyozifanya hizo mbao zote za maskani.
Kutoka 36:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Naye akazifanya hizo mbao kwa ajili ya hiyo maskani; mbao ishirini kwa upande wa kusini kuelekea kusini; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mbao hizo za hema zilitengenezwa hivi: Mbao ishirini upande wa kusini, Biblia Habari Njema - BHND Mbao hizo za hema zilitengenezwa hivi: Mbao ishirini upande wa kusini, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mbao hizo za hema zilitengenezwa hivi: mbao ishirini upande wa kusini, Neno: Bibilia Takatifu Wakatengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa Maskani, Neno: Maandiko Matakatifu Wakatengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani, BIBLIA KISWAHILI Naye akazifanya hizo mbao kwa ajili ya hiyo maskani; mbao ishirini kwa upande wa kusini kuelekea kusini; |
Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili, zilizounganywa pamoja; ndivyo alivyozifanya hizo mbao zote za maskani.
naye akafanya vitako vya fedha arubaini viwe chini ya hizo mbao ishirini; vitako viwili chini ya ubao mmoja kwa hizo ndimi zake mbili, na vitako viwili chini ya ubao mwingine kwa ndimi zake mbili.