Kila ubao utakuwa na ndimi mbili, zenye kuunganishwa huu na huu; ndivyo utakavyozifanya mbao zote za maskani.
Kutoka 36:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili, zilizounganywa pamoja; ndivyo alivyozifanya hizo mbao zote za maskani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Mbao zote za hema alizifanyia ndimi. Biblia Habari Njema - BHND Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Mbao zote za hema alizifanyia ndimi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili za kuunganishia. Mbao zote za hema alizifanyia ndimi. Neno: Bibilia Takatifu zikiwa na ndimi mbili zilizokuwa sambamba kila mmoja na mwingine. Wakatengeneza mihimili yote ya Maskani jinsi hii. Neno: Maandiko Matakatifu zikiwa na ndimi mbili zilizokuwa sambamba kila mmoja na mwingine. Wakatengeneza mihimili yote ya maskani jinsi hii. BIBLIA KISWAHILI Kila ubao ulikuwa na ndimi mbili, zilizounganishwa pamoja; ndivyo alivyozifanya hizo mbao zote za maskani. |
Kila ubao utakuwa na ndimi mbili, zenye kuunganishwa huu na huu; ndivyo utakavyozifanya mbao zote za maskani.
Urefu wa kila ubao ulikuwa ni dhiraa kumi, na upana wa kila ubao ulikuwa ni dhiraa moja na nusu.
Naye akazifanya hizo mbao kwa ajili ya hiyo maskani; mbao ishirini kwa upande wa kusini kuelekea kusini;