na ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na ngozi za pomboo, na miti ya mjohoro,
Kutoka 36:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha akafanya kifuniko kwa ajili ya hiyo hema cha ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu; tena juu yake akafanya kifuniko cha ngozi za pomboo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha alitengeneza kifuniko cha ngozi laini ya kondoo dume, na juu yake kifuniko kingine cha ngozi laini ya mbuzi. Biblia Habari Njema - BHND Kisha alitengeneza kifuniko cha ngozi laini ya kondoo dume, na juu yake kifuniko kingine cha ngozi laini ya mbuzi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha alitengeneza kifuniko cha ngozi laini ya kondoo dume, na juu yake kifuniko kingine cha ngozi laini ya mbuzi. Neno: Bibilia Takatifu Kisha wakatengeneza kifuniko cha hema kwa ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha wakatengeneza kifuniko cha hema kwa ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo. BIBLIA KISWAHILI Kisha akafanya kifuniko kwa ajili ya hiyo hema cha ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu; tena juu yake akafanya kifuniko cha ngozi za pomboo. |
na ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na ngozi za pomboo, na miti ya mjohoro,
Nawe fanya kifuniko cha ile hema, cha ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.