Kisha ufanye vifungo hamsini vya dhahabu, na kuunganisha hayo mapazia pamoja kwa vile vifungo; na hiyo maskani itakuwa ni moja.
Kutoka 36:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha akafanya vifungo hamsini vya shaba aiunganye ile hema pamoja, ili iwe hema moja. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Halafu akatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, na hivyo kufanya pazia moja la hema. Biblia Habari Njema - BHND Halafu akatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, na hivyo kufanya pazia moja la hema. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Halafu akatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, na hivyo kufanya pazia moja la hema. Neno: Bibilia Takatifu Wakatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kukaza hema pamoja kuwa kitu kimoja. Neno: Maandiko Matakatifu Wakatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kukaza hema pamoja kuwa kitu kimoja. BIBLIA KISWAHILI Kisha akafanya vifungo hamsini vya shaba aiunganishe ile hema pamoja, ili iwe hema moja. |
Kisha ufanye vifungo hamsini vya dhahabu, na kuunganisha hayo mapazia pamoja kwa vile vifungo; na hiyo maskani itakuwa ni moja.
Kisha akafanya matanzi hamsini katika upindo wa pazia lililo upande wa nje katika kile kiungo, naye akafanya matanzi hamsini katika ncha ya pazia lililokuwa upande wa nje katika kiungo cha pili.
Kisha akafanya kifuniko kwa ajili ya hiyo hema cha ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu; tena juu yake akafanya kifuniko cha ngozi za pomboo.