Urefu wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa thelathini, na upana wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa nne; hayo mapazia yote kumi na moja yalikuwa ya kipimo kimoja.
Kutoka 36:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Naye akaunganya mapazia matano mbali, na mapazia sita mbali. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, akayaunganisha mapazia matano pamoja, na mapazia sita pamoja. Biblia Habari Njema - BHND Basi, akayaunganisha mapazia matano pamoja, na mapazia sita pamoja. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, akayaunganisha mapazia matano pamoja, na mapazia sita pamoja. Neno: Bibilia Takatifu Wakaunganisha mapazia matano kuwa fungu moja, na hayo mengine sita kuwa fungu lingine. Neno: Maandiko Matakatifu Wakaunganisha mapazia matano kuwa fungu moja, na hayo mengine sita kuwa fungu lingine. BIBLIA KISWAHILI Naye akaunganisha mapazia matano mbali, na mapazia sita mbali. |
Urefu wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa thelathini, na upana wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa nne; hayo mapazia yote kumi na moja yalikuwa ya kipimo kimoja.
Kisha akafanya matanzi hamsini katika upindo wa pazia lililo upande wa nje katika kile kiungo, naye akafanya matanzi hamsini katika ncha ya pazia lililokuwa upande wa nje katika kiungo cha pili.