Urefu wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa thelathini, na upana wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa nne; hayo mapazia yote kumi na moja yalikuwa ya kipimo kimoja.
Kutoka 36:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha akafanya vifuniko vya singa za mbuzi kuwa hema ya kuifunika hiyo maskani; akafanya mapazia kumi na moja. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha alitengeneza pia kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi. Biblia Habari Njema - BHND Kisha alitengeneza pia kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha alitengeneza pia kifuniko cha hema kwa mapazia kumi na moja ya manyoya ya mbuzi. Neno: Bibilia Takatifu Wakatengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika Maskani. Neno: Maandiko Matakatifu Wakatengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika maskani. BIBLIA KISWAHILI Kisha akafanya vifuniko vya singa za mbuzi kuwa hema ya kuifunika hiyo maskani; akafanya mapazia kumi na moja. |
Urefu wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa thelathini, na upana wa kila pazia ulikuwa ni dhiraa nne; hayo mapazia yote kumi na moja yalikuwa ya kipimo kimoja.