Tena madhabahu ya shaba, aliyoifanya Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, ilikuwako huko mbele ya maskani ya BWANA; Sulemani na kusanyiko wakaiendea.
Kutoka 31:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote, na birika na kitako chake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema madhabahu ya sadaka za kuteketezwa na vyombo vyake vyote, birika la maji pamoja na tako lake, Biblia Habari Njema - BHND madhabahu ya sadaka za kuteketezwa na vyombo vyake vyote, birika la maji pamoja na tako lake, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza madhabahu ya sadaka za kuteketezwa na vyombo vyake vyote, birika la maji pamoja na tako lake, Neno: Bibilia Takatifu madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote, sinia na kinara chake, Neno: Maandiko Matakatifu madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote, sinia na kinara chake, BIBLIA KISWAHILI na madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote, na birika na kitako chake; |
Tena madhabahu ya shaba, aliyoifanya Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, ilikuwako huko mbele ya maskani ya BWANA; Sulemani na kusanyiko wakaiendea.