Pia mtwae kondoo dume mmoja; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake huyo kondoo dume.
Kutoka 29:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha utamchinja huyo kondoo dume, na kuitwaa damu yake, na kuinyunyiza katika madhabahu kuizunguka kandokando. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nawe utamchinja na damu yake utairashia madhabahu pande zake zote. Biblia Habari Njema - BHND Nawe utamchinja na damu yake utairashia madhabahu pande zake zote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nawe utamchinja na damu yake utairashia madhabahu pande zake zote. Neno: Bibilia Takatifu Mchinje huyo kondoo dume, chukua damu yake na uinyunyize pande zote za hayo madhabahu. Neno: Maandiko Matakatifu Mchinje huyo kondoo dume, chukua damu yake na uinyunyize pande zote za hayo madhabahu. BIBLIA KISWAHILI Kisha utamchinja huyo kondoo dume, na kuitwaa damu yake, na kuinyunyiza katika madhabahu kuizunguka kandokando. |
Pia mtwae kondoo dume mmoja; na Haruni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake huyo kondoo dume.
Kisha utamkatakata kondoo vipande vyake, na kuyaosha matumbo yake na miguu yake, na kuiweka pamoja na vipande vyake na kichwa chake.
Naye atamchinja huyo ng'ombe mbele ya BWANA; kisha wana wa Haruni, hao makuhani, wataileta karibu hiyo damu, na kuinyunyiza damu yake kandokando katika madhabahu iliyo hapo mlangoni pa hema ya kukutania
Naye ataweka mkono wake kichwani mwake huyo aliyemtoa, na kumchinja mlangoni pa hema ya kukutania; na wana wa Haruni, hao makuhani, watainyunyiza damu yake katika madhabahu pande zote.