Nawe ulifunike kwa dhahabu safi, ulifunike ndani na nje, nawe tia na ukingo wa dhahabu kulizunguka pande zote.
Kutoka 25:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Uifunike dhahabu safi, na kuifanyia ukingo wa dhahabu wa kuizunguka pande zote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hiyo meza utaipaka dhahabu safi na kuizungushia utepe wa dhahabu. Biblia Habari Njema - BHND Hiyo meza utaipaka dhahabu safi na kuizungushia utepe wa dhahabu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hiyo meza utaipaka dhahabu safi na kuizungushia utepe wa dhahabu. Neno: Bibilia Takatifu Ifunike kwa dhahabu safi, na kuitengenezea ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote. Neno: Maandiko Matakatifu Ifunike kwa dhahabu safi, na kuitengenezea ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote. BIBLIA KISWAHILI Uifunike dhahabu safi, na kuifanyia ukingo wa dhahabu wa kuizunguka pande zote. |
Nawe ulifunike kwa dhahabu safi, ulifunike ndani na nje, nawe tia na ukingo wa dhahabu kulizunguka pande zote.
Kisha ifanyie upapi wa kuizunguka pande zote, upana wake utakuwa nyanda nne, nawe uufanyie ule upapi ukingo wa urembo wa dhahabu wa kuuzunguka pande zote.
Nawe utaifunikiza dhahabu safi juu yake, na mbavu zake kandokando, na pembe zake; nawe utaifanyia ukingo wa dhahabu kuizunguka.
Nawe iweke mistari miwili, mikate sita kwa kila mstari, juu ya hiyo meza safi, mbele za BWANA.