Kilichoraruliwa na mnyama wa porini sikukuletea, mimi mwenyewe nimetwaa hasara yake, wewe umekidai katika mkono wangu, kiwe kilichukuliwa mchana au kilichukuliwa usiku.
Kutoka 22:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini kwamba aliibiwa mnyama huyo, sharti amlipe yule mwenyewe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini kama aliibiwa kwake, ni lazima amlipe mwenyewe. Biblia Habari Njema - BHND Lakini kama aliibiwa kwake, ni lazima amlipe mwenyewe. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini kama aliibiwa kwake, ni lazima amlipe mwenyewe. Neno: Bibilia Takatifu Lakini kama mnyama aliibwa kwa jirani, itampasa amlipe mwenye mnyama. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini kama mnyama aliibwa kwa jirani, itampasa amlipe mwenye mnyama. BIBLIA KISWAHILI Lakini kwamba aliibiwa mnyama huyo, sharti amlipe yule mwenyewe. |
Kilichoraruliwa na mnyama wa porini sikukuletea, mimi mwenyewe nimetwaa hasara yake, wewe umekidai katika mkono wangu, kiwe kilichukuliwa mchana au kilichukuliwa usiku.
patakuwa na kiapo cha BWANA katikati ya watu hao wawili, kwamba alipeleka mkono wake kutwaa mali ya mwenziwe, na mwenyewe atakubali hayo, wala hatalipa.
Kama aliraruliwa na mnyama mkali, na amlete uwe ushahidi; hatalipa kwa ajili ya mnyama aliyeraruliwa.
Mtu akimpa mwenziwe amana ya fedha au vitu vingine amtunzie, na vitu vile vikaibwa katika nyumba ya mtu huyo; mwizi akipatikana, atalipa thamani yake mara mbili.