Kutoka 2:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi akatazama huku na huko, na alipoona ya kuwa hapakuwapo mtu, akampiga na kumwua Mmisri yule, akamfukia mchangani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mose akatazama huku na huko, na alipoona kwamba hakuna mtu karibu, alimuua yule Mmisri na kumficha mchangani. Biblia Habari Njema - BHND Mose akatazama huku na huko, na alipoona kwamba hakuna mtu karibu, alimuua yule Mmisri na kumficha mchangani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mose akatazama huku na huko, na alipoona kwamba hakuna mtu karibu, alimuua yule Mmisri na kumficha mchangani. Neno: Bibilia Takatifu Musa akatazama huku na huko asione mtu yeyote, akamuua yule Mmisri, akamficha kwenye mchanga. Neno: Maandiko Matakatifu Musa akatazama huku na huko asione mtu yeyote, akamuua yule Mmisri, akamficha mchangani. BIBLIA KISWAHILI Basi akatazama huku na huko, na alipoona ya kuwa hapakuwapo mtu, akampiga na kumwua Mmisri yule, akamfukia mchangani. |