Ikawa Israeli alipokuwa akikaa katika nchi ile, Reubeni akaenda akalala na Bilha, suria wa babaye; Israeli akasikia habari. Basi hao wana wa Yakobo walikuwa kumi na wawili.
Kutoka 2:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mtu mmoja wa nyumba ya Lawi akaenda akaoa binti mmoja wa Lawi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kulikuwa na mtu mmoja wa ukoo wa Walawi aliyemwoa mwanamke mmoja ambaye pia alikuwa wa ukoo wa Walawi. Biblia Habari Njema - BHND Kulikuwa na mtu mmoja wa ukoo wa Walawi aliyemwoa mwanamke mmoja ambaye pia alikuwa wa ukoo wa Walawi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kulikuwa na mtu mmoja wa ukoo wa Walawi aliyemwoa mwanamke mmoja ambaye pia alikuwa wa ukoo wa Walawi. Neno: Bibilia Takatifu Basi mtu mmoja wa nyumba ya Lawi akaoa mwanamke Mlawi, Neno: Maandiko Matakatifu Basi mtu mmoja wa nyumba ya Lawi akaoa mwanamke Mlawi, BIBLIA KISWAHILI Mtu mmoja wa nyumba ya Lawi akaenda akaoa binti mmoja wa Lawi. |
Ikawa Israeli alipokuwa akikaa katika nchi ile, Reubeni akaenda akalala na Bilha, suria wa babaye; Israeli akasikia habari. Basi hao wana wa Yakobo walikuwa kumi na wawili.
yule Hadadi alikimbia, yeye na Waedomi wengine, watumishi wa baba yake, pamoja naye, waende Misri; yule Hadadi angali ni mtoto mdogo.
Na jina la mke wa Amramu aliitwa Yokebedi, binti wa Lawi, ambaye alizaliwa kwake Lawi huko Misri; na huyo Yokebedi akamzalia Amramu Haruni, na Musa, na Miriamu dada yao.