BWANA akamwambia, Nenda, ushuke wewe; nawe utakwea, wewe, na Haruni pamoja nawe; lakini wale makuhani na watu wasipenye kumkaribia BWANA, asije yeye akawafurikia juu yao.
Kutoka 19:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi Musa akawateremkia hao watu na kuwaambia hayo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Mose akashuka na kuwaambia Waisraeli mambo yote aliyoagizwa. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Mose akashuka na kuwaambia Waisraeli mambo yote aliyoagizwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Mose akashuka na kuwaambia Waisraeli mambo yote aliyoagizwa. Neno: Bibilia Takatifu Basi Musa akashuka kwa watu na kuwaambia lile aliloambiwa. Neno: Maandiko Matakatifu Basi Musa akashuka kwa watu na kuwaambia lile aliloambiwa. BIBLIA KISWAHILI Basi Musa akawateremkia hao watu na kuwaambia hayo. |
BWANA akamwambia, Nenda, ushuke wewe; nawe utakwea, wewe, na Haruni pamoja nawe; lakini wale makuhani na watu wasipenye kumkaribia BWANA, asije yeye akawafurikia juu yao.
(nami wakati ule nikiwa nimesimama kati ya BWANA na ninyi, ili kuwaonesha neno la BWANA; maana, mliogopa kwa sababu ya ule moto, wala hamkupanda mlimani); naye akasema,