Kutoka 18:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo Yethro mkwewe Musa akamtwaa Sipora, mke wa Musa, baada ya yeye kumrudisha, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hiyo Yethro, akiwa na Sipora, mkewe Mose, ambaye Mose alikuwa amemrudisha kwa baba yake, alimwendea Mose, Biblia Habari Njema - BHND Kwa hiyo Yethro, akiwa na Sipora, mkewe Mose, ambaye Mose alikuwa amemrudisha kwa baba yake, alimwendea Mose, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hiyo Yethro, akiwa na Sipora, mkewe Mose, ambaye Mose alikuwa amemrudisha kwa baba yake, alimwendea Mose, Neno: Bibilia Takatifu Baada ya Musa kumrudisha mkewe Sipora, Yethro baba mkwe wake alimpokea Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya Musa kumrudisha mkewe Sipora, Yethro baba mkwe wake alimpokea BIBLIA KISWAHILI Ndipo Yethro mkwewe Musa akamtwaa Sipora, mke wa Musa, baada ya yeye kumrudisha, |