Basi sasa umrudishe mwanamke kwa mtu huyo, maana yeye ni nabii, naye atakuombea, upate kuishi. Bali usipomrudisha, fahamu ya kwamba kwa hakika utakufa wewe na watu wote ulio nao.
Kutoka 18:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mkwewe Musa akamwambia, Jambo hili ufanyalo si jema. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Yethro akamwambia Mose, “Unavyofanya si vizuri! Biblia Habari Njema - BHND Basi, Yethro akamwambia Mose, “Unavyofanya si vizuri! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Yethro akamwambia Mose, “Unavyofanya si vizuri! Neno: Bibilia Takatifu Baba mkwe wa Musa akamjibu, “Unachofanya sio kizuri. Neno: Maandiko Matakatifu Baba mkwe wa Musa akamjibu, “Unachofanya sio kizuri. BIBLIA KISWAHILI Mkwewe Musa akamwambia, Jambo hili ufanyalo si jema. |
Basi sasa umrudishe mwanamke kwa mtu huyo, maana yeye ni nabii, naye atakuombea, upate kuishi. Bali usipomrudisha, fahamu ya kwamba kwa hakika utakufa wewe na watu wote ulio nao.
wakiwa na neno, hunijia; nami naamua kati ya mtu na mwenziwe, nami nawajulisha amri za Mungu, na sheria zake.
Kwa kweli utajidhoofisha mwenyewe, na hawa watu walio pamoja nawe pia; maana jambo hili ni zito mno kwako; huwezi wewe kulitenda peke yako.
Marhamu na manukato huufurahisha moyo; Kadhalika utamu wa rafiki ya mtu utokao katika kusudi la moyo wake.
Wale Kumi na Wawili wakawaita jamii ya wanafunzi, wakasema, Haipendezi sisi kuliacha neno la Mungu na kuhudumu mezani.