Hata kabla hawajalala, watu wa mji, wenyeji wa Sodoma, wakaizunguka nyumba, vijana kwa wazee, watu wote waliotoka pande zote.
Kutoka 16:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na mkutano mzima wa wana wa Israeli ukawanung'unikia Musa na Haruni, huko barani; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, jumuiya yote ya Waisraeli ikawalalamikia Mose na Aroni huko jangwani, Biblia Habari Njema - BHND Basi, jumuiya yote ya Waisraeli ikawalalamikia Mose na Aroni huko jangwani, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, jumuiya yote ya Waisraeli ikawalalamikia Mose na Aroni huko jangwani, Neno: Bibilia Takatifu Huko jangwani, jumuiya yote wakawanung’unikia Musa na Haruni. Neno: Maandiko Matakatifu Huko jangwani hiyo jumuiya yote wakawanung’unikia Musa na Haruni. BIBLIA KISWAHILI Na mkutano mzima wa wana wa Israeli ukawanung'unikia Musa na Haruni, huko barani; |
Hata kabla hawajalala, watu wa mji, wenyeji wa Sodoma, wakaizunguka nyumba, vijana kwa wazee, watu wote waliotoka pande zote.
Baba zetu katika Misri Hawakuzingatia matendo yako ya ajabu; Hawakukumbuka wingi wa fadhili zako; Wakaasi penye bahari, Bahari ya Shamu.
Wakamwambia Musa, Je! Kwa sababu hapakuwa na makaburi katika Misri umetutoa huko ili tufe jangwani? Mbona umetutendea haya, kututoa katika nchi ya Misri?
Watu wakawa na kiu huko; nao wakamnung'unikia Musa, wakasema, Mbona umetupandisha kutoka Misri, kutuua sisi na watoto wetu na wanyama wetu kwa kiu?
wakawaambia, BWANA awaangalie na kuamua; kwa kuwa mmefanya harufu yetu kuwa chukizo mbele ya Farao, na mbele ya watumishi wake, mkatia upanga mikononi mwao, watuue.
kwa sababu watu hawa wote, ambao wameuona utukufu wangu na ishara zangu, nilizozitenda huko Misri, na huko jangwani, pamoja na haya wamenijaribu mara hizi kumi, wala hawakuisikiza sauti yangu;