Kutoka 13:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ninyi mwatoka leo katika mwezi wa Abibu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siku hii, mwezi wa kwanza wa Abibu, mtaondoka nchini Misri. Biblia Habari Njema - BHND Siku hii, mwezi wa kwanza wa Abibu, mtaondoka nchini Misri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siku hii, mwezi wa kwanza wa Abibu, mtaondoka nchini Misri. Neno: Bibilia Takatifu Leo, katika mwezi wa Abibu, mnatoka. Neno: Maandiko Matakatifu Leo, katika mwezi wa Abibu, mnatoka. BIBLIA KISWAHILI Ninyi mwatoka leo katika mwezi wa Abibu. |
Utaiweka sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu; utakula mikate isiyochachwa muda wa siku saba kama nilivyokuagiza, kwa wakati uliowekwa, mwezi wa Abibu (kwa maana ndio mwezi uliotoka Misri); wala hapana mtu atakayeonekana mbele yangu na mikono mitupu;
Hiyo sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu utaitunza. Utakula mikate isiyotiwa chachu muda wa siku saba, kama nilivyokuagiza, kwa majira yaliyoaganwa katika mwezi wa Abibu; kwa kuwa ulitoka Misri katika mwezi huo wa Abibu.
Tena nimelithibitisha agano langu nao, la kuwapa nchi ya Kanaani; nchi ya waliyokaa kama wageni.