Kwa imani akatoka Misri, asiogope ghadhabu ya mfalme; maana alistahimili kama amwonaye yeye asiyeonekana.
Kutoka 10:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Musa akasema, Umenena vema; mimi sitakuangalia uso wako tena. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mose naye akamwambia, “Sawa! Kama ulivyosema sitakuja kukuona tena.” Biblia Habari Njema - BHND Mose naye akamwambia, “Sawa! Kama ulivyosema sitakuja kukuona tena.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mose naye akamwambia, “Sawa! Kama ulivyosema sitakuja kukuona tena.” Neno: Bibilia Takatifu Musa akamjibu, “Iwe kama ulivyosema! Kamwe sitauona uso wako tena.” Neno: Maandiko Matakatifu Musa akamjibu, “Iwe kama ulivyosema! Kamwe sitauona uso wako tena.” BIBLIA KISWAHILI Musa akasema, Umenena vema; mimi sitakuangalia uso wako tena. |
Kwa imani akatoka Misri, asiogope ghadhabu ya mfalme; maana alistahimili kama amwonaye yeye asiyeonekana.