BWANA akaugeuza upepo wa magharibi wenye nguvu nyingi, ambao uliwaondoa wale nzige na kuwapeleka katika Bahari ya Shamu; hakusalia hata nzige mmoja ndani ya mipaka yote ya Misri.
Kutoka 10:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akatoka kwa Farao, na kumwomba BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Mose akaondoka kwa Farao, akaenda kumwomba Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Mose akaondoka kwa Farao, akaenda kumwomba Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Mose akaondoka kwa Farao, akaenda kumwomba Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Kisha Musa akaondoka kwa Farao akamwomba Mwenyezi Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Musa akaondoka kwa Farao akamwomba bwana. BIBLIA KISWAHILI Akatoka kwa Farao, na kumwomba BWANA. |
BWANA akaugeuza upepo wa magharibi wenye nguvu nyingi, ambao uliwaondoa wale nzige na kuwapeleka katika Bahari ya Shamu; hakusalia hata nzige mmoja ndani ya mipaka yote ya Misri.
Basi Musa na Haruni wakatoka kwa Farao; Musa akamlilia BWANA katika jambo la hao vyura aliokuwa amewaleta juu ya Farao.
Ndipo Farao akawaita Musa na Haruni na kuwaambia, Mwombeni BWANA, ili awaondoe vyura hawa kwangu mimi na kwa watu wangu; nami nitawapa watu ruhusa waende zao, ili wamtolee BWANA dhabihu.
Musa akamwambia Farao, Haya, ujitukuze juu yangu katika jambo hili; sema ni lini unapotaka nikuombee wewe, na watumishi wako, na watu wako, ili hao vyura waangamizwe watoke kwako wewe na nyumba zako, wakae ndani ya mto tu.