Naam, muda wa miaka arubaini uliwaruzuku jangwani, wasihitaji kitu; nguo zao hazikuchakaa, wala miguu yao haikuvimba.
Kumbukumbu la Torati 8:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mavazi yako hayakuchakaa, wala mguu wako haukuvimba, miaka hiyo arubaini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakati huo wa miaka arubaini nguo zenu hazikuchakaa, wala miguu yenu haikuvimba. Biblia Habari Njema - BHND Wakati huo wa miaka arubaini nguo zenu hazikuchakaa, wala miguu yenu haikuvimba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakati huo wa miaka arubaini nguo zenu hazikuchakaa, wala miguu yenu haikuvimba. Neno: Bibilia Takatifu Nguo zenu hazikuchakaa wala miguu yenu haikuvimba kwa miaka hii arobaini. Neno: Maandiko Matakatifu Nguo zenu hazikuchakaa wala miguu yenu haikuvimba kwa miaka hii arobaini. BIBLIA KISWAHILI Mavazi yako hayakuchakaa, wala mguu wako haukuvimba, miaka hiyo arobaini. |
Naam, muda wa miaka arubaini uliwaruzuku jangwani, wasihitaji kitu; nguo zao hazikuchakaa, wala miguu yao haikuvimba.
Na wana wa Israeli walikula Mana muda wa miaka arubaini, hata walipofikia nchi iliyo na watu, wakala ile Mana, hata walipofikia mipakani mwa nchi ya Kanaani.
Kisha watoto wenu watakuwa wachungaji jangwani muda wa miaka arubaini nao watauchukua mzigo wa uasherati wenu, hadi maiti zenu zitakapoangamia jangwani.
Kwa kuwa BWANA, Mungu wako, amekubariki katika kazi yote ya mkono wako; amejua ulivyotembea katika jangwa kubwa hili; miaka arubaini hii alikuwa nawe BWANA, Mungu wako; hukukosa kitu.
Nami miaka arubaini nimewaongoza jangwani; nguo zenu hazikuchakaa juu yenu, wala kiatu chako hakikuchakaa katika mguu wako.