Na hao watu wawili, watu wasiofaa, wakaingia, wakaketi mbele yake; wale watu wasiofaa wakamshuhudia Nabothi mbele ya watu, wakasema, Nabothi amemtukana Mungu na mfalme. Ndipo wakamchukua nje ya mji, wakampiga kwa mawe hata akafa.
Kumbukumbu la Torati 5:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wala usimshuhudie jirani yako uongo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “ ‘Usimshuhudie jirani yako uongo. Biblia Habari Njema - BHND “ ‘Usimshuhudie jirani yako uongo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “‘Usimshuhudie jirani yako uongo. Neno: Bibilia Takatifu Usimshuhudie jirani yako uongo. Neno: Maandiko Matakatifu Usimshuhudie jirani yako uongo. BIBLIA KISWAHILI Wala usimshuhudie jirani yako uongo. |
Na hao watu wawili, watu wasiofaa, wakaingia, wakaketi mbele yake; wale watu wasiofaa wakamshuhudia Nabothi mbele ya watu, wakasema, Nabothi amemtukana Mungu na mfalme. Ndipo wakamchukua nje ya mji, wakampiga kwa mawe hata akafa.
Nami nitawakaribieni ili kuhukumu; nami sitasita kutoa ushahidi juu ya wachawi; na juu ya wazinzi, na juu ya waapao kwa uongo; juu ya wamwoneao mwajiriwa, kwa ajili ya mshahara wake, wamwoneao mjane na yatima, na kumpotosha mgeni asipate haki yake, wala hawaniogopi mimi, asema BWANA wa majeshi.