Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.
Kumbukumbu la Torati 5:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Usiue. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “ ‘Usiue. Biblia Habari Njema - BHND “ ‘Usiue. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “‘Usiue. Neno: Bibilia Takatifu Usiue. Neno: Maandiko Matakatifu Usiue. BIBLIA KISWAHILI Usiue. |
Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.
Wazijua amri, Usiue, Usizini, Usiibe, Usishuhudie uongo, Usidanganye, Waheshimu baba yako na mama yako.
Maana kule kusema, Usizini, Usiue, Usiibe, Usitamani; na ikiwapo amri nyingine yoyote, inajumlishwa katika neno hili, ya kwamba, Mpende jirani yako kama nafsi yako.
Kwa maana yeye aliyesema, Usizini, pia alisema, Usiue. Basi ijapokuwa hukuzini, lakini umeua, umekuwa mvunja sheria.