Mungu akaumba nyangumi wakubwa, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho, ambavyo maji yalijawa navyo kwa wingi kwa jinsi zao, na kila ndege arukaye, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Kumbukumbu la Torati 4:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC au mfano wa kitu chochote kitambaacho juu ya ardhi, au mfano wa samaki yeyote aliye katika maji chini ya nchi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema au mfano wa mnyama atambaaye ardhini au wa samaki majini. Biblia Habari Njema - BHND au mfano wa mnyama atambaaye ardhini au wa samaki majini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza au mfano wa mnyama atambaaye ardhini au wa samaki majini. Neno: Bibilia Takatifu au kama kiumbe kinachotambaa juu ya ardhi, au samaki yeyote aliye ndani ya maji. Neno: Maandiko Matakatifu au kama kiumbe kitambaacho juu ya ardhi au samaki yeyote aliye ndani ya maji. BIBLIA KISWAHILI au mfano wa kitu chochote kitambaacho juu ya ardhi, au mfano wa samaki yeyote aliye katika maji chini ya nchi; |
Mungu akaumba nyangumi wakubwa, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho, ambavyo maji yalijawa navyo kwa wingi kwa jinsi zao, na kila ndege arukaye, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Basi, nikaingia, nikaona; na tazama, kila namna ya wadudu, na wanyama wachukizao, na taswira za vinyago vyote vya nyumba ya Israeli, zimepigwa ukutani pande zote.
tena usije ukainua macho yako hata mbinguni, na ulionapo jua, na mwezi, na nyota, jeshi la mbinguni lote pia, ukashawishwa na kuviabudu, na kuvitumikia, ambavyo BWANA, Mungu wako amewagawanyia watu wote chini ya mbingu zote.