Ikawa Israeli alipokuwa akikaa katika nchi ile, Reubeni akaenda akalala na Bilha, suria wa babaye; Israeli akasikia habari. Basi hao wana wa Yakobo walikuwa kumi na wawili.
Kumbukumbu la Torati 33:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Reubeni na aishi, asife; Lakini watu wake na wawe wachache. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mose alisema juu ya kabila la Reubeni: “Reubeni aishi wala asife, na watu wake wasiwe wachache.” Biblia Habari Njema - BHND Mose alisema juu ya kabila la Reubeni: “Reubeni aishi wala asife, na watu wake wasiwe wachache.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mose alisema juu ya kabila la Reubeni: “Reubeni aishi wala asife, na watu wake wasiwe wachache.” Neno: Bibilia Takatifu “Reubeni na aishi, asife, wala watu wake wasiwe wachache.” Neno: Maandiko Matakatifu “Reubeni na aishi, asife, wala watu wake wasiwe wachache.” BIBLIA KISWAHILI Reubeni na aishi, asife; Lakini watu wake na wawe wachache. |
Ikawa Israeli alipokuwa akikaa katika nchi ile, Reubeni akaenda akalala na Bilha, suria wa babaye; Israeli akasikia habari. Basi hao wana wa Yakobo walikuwa kumi na wawili.
Wana wa Lea ni Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, na Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Zabuloni.
Yuda, ndugu zako watakusifu, Mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako. Wana wa baba yako watakuinamia.