Sikusema kwa siri, katika mahali pa nchi ya giza; sikuwaambia wazao wa Yakobo; Nitafuteni bure; Mimi, BWANA, nasema ukweli; nanena mambo ya haki.
Kumbukumbu la Torati 30:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa maana maagizo haya nikuagizayo leo, si mazito mno kwako, wala si mbali. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Amri ninazowapa leo si ngumu mno kwenu, wala haziko mbali nanyi. Biblia Habari Njema - BHND “Amri ninazowapa leo si ngumu mno kwenu, wala haziko mbali nanyi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Amri ninazowapa leo si ngumu mno kwenu, wala haziko mbali nanyi. Neno: Bibilia Takatifu Ninachokuagiza leo sio kigumu sana kwako au usichokiweza. Neno: Maandiko Matakatifu Ninachokuagiza leo sio kigumu sana kwako au usichokiweza. BIBLIA KISWAHILI Kwa maana maagizo haya nikuagizayo leo, si mazito mno kwako, wala si mbali. |
Sikusema kwa siri, katika mahali pa nchi ya giza; sikuwaambia wazao wa Yakobo; Nitafuteni bure; Mimi, BWANA, nasema ukweli; nanena mambo ya haki.
ukiwa utaifuata sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa kuyashika maagizo yake, na amri zake zilizoandikwa katika kitabu hiki cha torati; ukimwelekea BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote.
Si mbinguni, hata useme, Ni nani atakayetupandia mbinguni akatuletee, aje atuambie tusikie, tupate kuyafanya?