Na wana wa nusu kabila la Manase walikaa katika nchi; nao wakaongezeka kutoka Bashani mpaka Baal-hermoni, na Seniri, na mlima Hermoni.
Kumbukumbu la Torati 3:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC (na hiyo Hermoni Wasidoni huiita Sirioni, na Waamori huiita Seniri); Matoleo zaidiBiblia Habari Njema (Wasidoni huuita mlima huo Sirioni, nao Waamori huuita Seniri). Biblia Habari Njema - BHND (Wasidoni huuita mlima huo Sirioni, nao Waamori huuita Seniri). Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza (Wasidoni huuita mlima huo Sirioni, nao Waamori huuita Seniri). Neno: Bibilia Takatifu (Wasidoni huuita mlima huo Sirioni, nao Waamori huuita Seniri.) Neno: Maandiko Matakatifu (Wasidoni huuita mlima huo Sirioni, nao Waamori huuita Seniri.) BIBLIA KISWAHILI (na hiyo Hermoni Wasidoni huiita Sirioni, na Waamori huiita Seniri); |
Na wana wa nusu kabila la Manase walikaa katika nchi; nao wakaongezeka kutoka Bashani mpaka Baal-hermoni, na Seniri, na mlima Hermoni.
Ni kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni. Maana huko ndiko BWANA alikoamuru baraka, Naam, uzima hata milele.
Nafsi yangu imeinama ndani yangu, kwa hiyo nitakukumbuka, Toka nchi ya Yordani, na Mahermoni, na toka kilima cha Mizari.
Bibi arusi, njoo pamoja nami toka Lebanoni, Pamoja nami toka Lebanoni. Shuka kutoka kilele cha Amana, Kutoka vilele vya Seniri na Hermoni; Kutoka mapangoni mwa simba, Kutoka milimani mwa chui.
Mbao zako zote wamezifanya kwa misonobari itokayo Seniri; wametwaa mierezi ya Lebanoni ili kukufanyia mlingoti;
tangu kilima cha Halaki, kiendeleacho upande wa Seiri, mpaka Baal-gadi katika bonde la Lebanoni chini ya kilima cha Hermoni; naye akawatwaa wafalme wao wote, akawapiga, na kuwaua.