Mwaka huo Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, naye akapata mavuno mara mia zaidi. BWANA akambariki.
Kumbukumbu la Torati 28:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Utabarikiwa mjini, utabarikiwa na mashambani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Miji yenu itabarikiwa na mashamba yenu. Biblia Habari Njema - BHND “Miji yenu itabarikiwa na mashamba yenu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Miji yenu itabarikiwa na mashamba yenu. Neno: Bibilia Takatifu Utabarikiwa mjini na utabarikiwa mashambani. Neno: Maandiko Matakatifu Utabarikiwa mjini na utabarikiwa mashambani. BIBLIA KISWAHILI Utabarikiwa mjini, utabarikiwa na mashambani. |
Mwaka huo Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, naye akapata mavuno mara mia zaidi. BWANA akambariki.
Ikawa tokea wakati alipomweka kuwa msimamizi wa nyumba yake, na vyote vilivyomo, BWANA akabariki nyumba ya yule Mmisri kwa ajili ya Yusufu. Baraka za BWANA zikawa juu ya vyote alivyokuwa navyo katika nyumba, na katika shamba.
Je, Mbegu ingali ghalani? Naam, huo mzabibu, wala mtini, wala mkomamanga, wala mzeituni, haikuzaa kitu; tangu siku hii ya leo nitawabariki.
Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, kuongezeka kwa ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo wako.