Kumbukumbu la Torati 23:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini ukijizuia usiweke nadhiri, haitakuwa dhambi kwako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini ukiacha kuweka nadhiri hutakuwa na dhambi. Biblia Habari Njema - BHND Lakini ukiacha kuweka nadhiri hutakuwa na dhambi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini ukiacha kuweka nadhiri hutakuwa na dhambi. Neno: Bibilia Takatifu Lakini ukijizuia kuweka nadhiri, hutakuwa na hatia. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini ukijizuia kuweka nadhiri, hutakuwa na hatia. BIBLIA KISWAHILI Lakini ukijizuia usiweke nadhiri, haitakuwa dhambi kwako. |
Ni mtego, mtu aseme kwa haraka, Kitu hiki ni wakfu; Na baada ya kuweka nadhiri kuulizauliza habari.
Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Hapo mtu atakapoondoa nadhiri, hizo nafsi za watu zitakuwa kwa BWANA, kama utakavyowahesabia wewe.
Utakapoweka nadhiri kwa BWANA, Mungu wako, usiwe mlegevu katika kuiondoa; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, hataacha kuitaka kwako; nayo hivi itakuwa dhambi kwako.
Yaliyotoka midomoni mwako yashike kuyafanya; kwa mfano wa ulivyomwekea nadhiri BWANA, Mungu wako, ni sadaka ya hiari uliyoahidi kwa kinywa chako.
Wana wa Israeli hawakuwapiga, kwa sababu wakuu wa mkutano walikuwa wamekwisha kuwaapia kwa BWANA, Mungu wa Israeli. Nao mkutano wote wakawanung'unikia hao wakuu.