Na mtu yeyote akitokwa na shahawa yake, ndipo ataoga mwili wake wote majini, naye atakuwa najisi hadi jioni.
Kumbukumbu la Torati 23:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tena uwe na mahali nje ya kituo, kwa kutokea nje; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Lazima muwe na mahali nje ya kambi ambapo mnaweza kwenda haja. Biblia Habari Njema - BHND “Lazima muwe na mahali nje ya kambi ambapo mnaweza kwenda haja. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Lazima muwe na mahali nje ya kambi ambapo mnaweza kwenda haja. Neno: Bibilia Takatifu Tengeni mahali nje ya kambi ambapo mnaweza kwenda kujisaidia. Neno: Maandiko Matakatifu Tengeni mahali nje ya kambi ambapo mnaweza kwenda kujisaidia. BIBLIA KISWAHILI Tena uwe na mahali nje ya kituo, kwa kutokea nje; |
Na mtu yeyote akitokwa na shahawa yake, ndipo ataoga mwili wake wote majini, naye atakuwa najisi hadi jioni.
lakini na iwe ikaribiapo jioni, yeye ataoga maji; na jua likiisha kuchwa ataingia ndani ya kituo.
nawe uwe na jembe dogo katika silaha zako; napo uotamapo nje uchimbe kwa lile jembe, na kugeuka na kukifunika kikutokacho;