Neno la BWANA kwa Bwana wangu, Uketi upande wangu wa kulia, Hadi niwafanyapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako.
Kumbukumbu la Torati 20:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na BWANA, Mungu wako, autiapo mkononi mwako, mpige kila mume aliyemo kwa makali ya upanga; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu akiutia mikononi mwenu, mtawaua kwa upanga wanaume wote; Biblia Habari Njema - BHND naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu akiutia mikononi mwenu, mtawaua kwa upanga wanaume wote; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu akiutia mikononi mwenu, mtawaua kwa upanga wanaume wote; Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, atakapouweka mji huo mkononi mwenu, waueni kwa upanga wanaume wote waliomo. Neno: Maandiko Matakatifu Wakati bwana Mwenyezi Mungu wenu atakapouweka mji huo mkononi mwenu, waueni kwa upanga wanaume wote waliomo ndani yake. BIBLIA KISWAHILI na BWANA, Mungu wako, autiapo mkononi mwako, mpige kila mume aliyemo kwa makali ya upanga; |
Neno la BWANA kwa Bwana wangu, Uketi upande wangu wa kulia, Hadi niwafanyapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako.