Kumbukumbu la Torati 17:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na hao watu wote watasikia na kuogopa, wasifanye tena kwa kujikinai. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wote watasikia na kuogopa wasifanye tena kitu kwa kutojali. Biblia Habari Njema - BHND Watu wote watasikia na kuogopa wasifanye tena kitu kwa kutojali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wote watasikia na kuogopa wasifanye tena kitu kwa kutojali. Neno: Bibilia Takatifu Watu wote watasikia na kuogopa, nao hawatakuwa wenye kudharau tena. Neno: Maandiko Matakatifu Watu wote watasikia na kuogopa, nao hawatakuwa wenye kudharau tena. BIBLIA KISWAHILI Na hao watu wote watasikia na kuogopa, wasifanye tena kwa kujikinai. |
Ukisikia yasemwa habari ya miji yako mmojawapo, akupayo BWANA, Mungu wako, ukae humo, ukiambiwa,
Na mtu afanyaye kwa kujikinai, kwa kutomsikiza kuhani asimamaye hapo kwa kumtumikia BWANA, Mungu wako, au mwamuzi, na afe mtu huyo; nawe utauondoa uovu katika Israeli.