Huko bundi atajenga kiota chake na kutaga mayai na kuyaatamia, na kuangua, na kukusanya vifaranga wake katika kivuli chake; naam, huko watakusanyika tai, kila mmoja na mwenzake.
Kumbukumbu la Torati 14:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na kengewa, na kozi, na mwewe kwa aina zake; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kengewa, kozi, mwewe kwa aina zake, Biblia Habari Njema - BHND kengewa, kozi, mwewe kwa aina zake, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kengewa, kozi, mwewe kwa aina zake, Neno: Bibilia Takatifu kengewa mwekundu, kengewa mweusi, mwewe wa aina yoyote, Neno: Maandiko Matakatifu kengewa mwekundu, kengewa mweusi, mwewe wa aina yoyote, BIBLIA KISWAHILI na kengewa, na kozi, na mwewe kwa aina zake; |
Huko bundi atajenga kiota chake na kutaga mayai na kuyaatamia, na kuangua, na kukusanya vifaranga wake katika kivuli chake; naam, huko watakusanyika tai, kila mmoja na mwenzake.