Biblia ya mtandaoni

Matangazo


Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya




Kumbukumbu la Torati 13:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

Ukisikia yasemwa habari ya miji yako mmojawapo, akupayo BWANA, Mungu wako, ukae humo, ukiambiwa,

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

“Mtakapoishi katika miji ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapa, huenda mkasikia

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

“Mtakapoishi katika miji ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapa, huenda mkasikia

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

“Mtakapoishi katika miji ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, anawapa, huenda mkasikia

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Mkisikia ikisemwa kwamba moja ya miji ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa mkae ndani yake

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Kama mkisikia ikisemwa kwamba moja ya miji ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa mkae ndani yake

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Ukisikia yasemwa habari ya miji yako mmojawapo, akupayo BWANA, Mungu wako, ukae humo, ukiambiwa,

Tazama sura
Tafsiri zingine



Kumbukumbu la Torati 13:12
8 Marejeleo ya Msalaba  

Hivyo nitaukomesha uasherati katika nchi hii, ili wanawake wote wafundishwe, wasifanye uasherati kama mlivyofanya.


Na Israeli wote watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.


Kumetoka katikati yako mabaradhuli kadha wa kadha, wamewapotoa wenyeji wa mji wao, wakisema, Twendeni tukaabudu miungu mingine msiyoijua;


Na hao watu wote watasikia na kuogopa, wasifanye tena kwa kujikinai.


Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.


Wanaume wote wa mji wake na wamtupie mawe, afe; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako; na Israeli wote watasikia na kuogopa.