Kumbukumbu la Torati 12:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Msifanye kwa kufuata mambo yote tuyafanyayo hapa leo, kila mtu kama apendavyo; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Msifanye kama tunavyofanya sasa, kila mtu kama apendavyo mwenyewe; Biblia Habari Njema - BHND “Msifanye kama tunavyofanya sasa, kila mtu kama apendavyo mwenyewe; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Msifanye kama tunavyofanya sasa, kila mtu kama apendavyo mwenyewe; Neno: Bibilia Takatifu Msifanye kama tunavyofanya hapa leo, kila mtu anavyopenda mwenyewe, Neno: Maandiko Matakatifu Msifanye kama tunavyofanya hapa leo, kila mtu anavyopenda mwenyewe, BIBLIA KISWAHILI Msifanye kwa kufuata mambo yote tuyafanyayo hapa leo, kila mtu kama apendavyo; |
Je! Mliniletea dhabihu na sadaka jangwani muda wa miaka arubaini, enyi nyumba ya Israeli?
nacho kitakuwa kwenu ni kishada, ili mpate kukiangalia, na kuyakumbuka maagizo yote ya BWANA, na kuyafanya; tena ili msiende kutangatanga kufuata mioyo yenu wenyewe, na macho yenu wenyewe, ambayo mlikuwa mkiyaandama kwa uasherati hapo kwanza;
Basi Mungu akaghairi, akawaacha ili waliabudu jeshi la mbinguni, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii, Je! Mlinitolea mimi dhabihu na sadaka Miaka arubaini katika jangwa, enyi nyumba ya Israeli?
na huko mtakula mbele za BWANA, Mungu wenu, nanyi furahini katika yote mtakayotia mikono yenu, ninyi na wa nyumbani mwenu, aliyokubarikia BWANA, Mungu wako.
Basi Yoshua akawaambia wana wa Israeli, Njoni huku, mkayasikie maneno ya BWANA, Mungu wenu.
Kwa kuwa watu wote waliotoka walikuwa wamekwisha kutahiriwa; lakini watu wote waliozaliwa katika safari jangwani walipokwisha kutoka Misri, hao hawakutahiriwa.
Siku hizo hapakuwa na mfalme katika Israeli; kila mtu alifanya hayo aliyoyaona kuwa ni mema machoni pake mwenyewe.
Siku hizo hapakuwa na mfalme katika Israeli; kila mtu alifanya yaliyokuwa ni mema machoni pake mwenyewe.