Neno hili litakuwa amri ya daima, katika vizazi vyenu vyote, ndani ya nyumba zenu zote, ya kwamba hamtakula mafuta wala damu kabisa.
Kumbukumbu la Torati 12:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Usiile; imwage juu ya nchi kama maji. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Msile damu hiyo, bali imwageni chini kama maji. Biblia Habari Njema - BHND Msile damu hiyo, bali imwageni chini kama maji. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Msile damu hiyo, bali imwageni chini kama maji. Neno: Bibilia Takatifu Hamruhusiwi kamwe kula damu; imwageni ardhini kama maji. Neno: Maandiko Matakatifu Hamruhusiwi kamwe kunywa damu; imwageni juu ya ardhi kama maji. BIBLIA KISWAHILI Usiile; imwage juu ya nchi kama maji. |
Neno hili litakuwa amri ya daima, katika vizazi vyenu vyote, ndani ya nyumba zenu zote, ya kwamba hamtakula mafuta wala damu kabisa.
Ila ujihadhari kwamba usile damu, kwani ile damu ndiyo uhai; na uhai usile pamoja na nyama.
Usiile; ili upate kufanikiwa, na watoto wako baada yako utakapofanya yaliyoelekea machoni pa BWANA.