Tena nikagundua kwamba Walawi hawakupewa sehemu zao; Hivyo Walawi na waimbaji walioongoza ibada, kila mtu amerudi shambani mwake.
Kumbukumbu la Torati 12:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Jilinde nafsi yako usimpuuze Mlawi siku zote utakazoishi katika nchi yako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Pia hakikisheni kwamba hamtawasahau Walawi muda wote mtakaoishi katika nchi yenu. Biblia Habari Njema - BHND Pia hakikisheni kwamba hamtawasahau Walawi muda wote mtakaoishi katika nchi yenu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Pia hakikisheni kwamba hamtawasahau Walawi muda wote mtakaoishi katika nchi yenu. Neno: Bibilia Takatifu Mwe waangalifu msiwapuuze Walawi kwa muda wote mnaoishi katika nchi yenu. Neno: Maandiko Matakatifu Mwe waangalifu msiwapuuze Walawi kwa muda wote mnaoishi katika nchi yenu. BIBLIA KISWAHILI Jilinde nafsi yako usimpuuze Mlawi siku zote utakazoishi katika nchi yako. |
Tena nikagundua kwamba Walawi hawakupewa sehemu zao; Hivyo Walawi na waimbaji walioongoza ibada, kila mtu amerudi shambani mwake.
Nanyi mtafurahi mbele za BWANA, Mungu wenu, ninyi, na wana wenu, na binti zenu, na watumishi wenu wa kiume na wa kike, na Mlawi aliyemo malangoni mwenu; kwa kuwa hana sehemu wala urithi kwenu.