Kumbukumbu la Torati 1:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC BWANA akaisikia sauti ya maneno yenu, akaghadhibika, akaapa, akasema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Mwenyezi-Mungu aliyasikia manunguniko yenu, akakasirika, akaapa akisema: Biblia Habari Njema - BHND “Mwenyezi-Mungu aliyasikia manunguniko yenu, akakasirika, akaapa akisema: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Mwenyezi-Mungu aliyasikia manung'uniko yenu, akakasirika, akaapa akisema: Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu aliposikia lile mlilosema, alikasirika, akaapa kwamba: Neno: Maandiko Matakatifu Wakati bwana aliposikia lile mlilosema, alikasirika, akaapa, akasema: BIBLIA KISWAHILI BWANA akaisikia sauti ya maneno yenu, akaghadhibika, akaapa, akasema, |
Tena niliwainulia mkono wangu jangwani, ya kwamba sitawaingiza katika nchi ile niliyokuwa nimewapa, itiririkayo maziwa na asali, ambayo ni utukufu wa nchi zote;
Na tazama, ninyi kizazi cha watu wenye dhambi, mmeinuka badala ya baba zenu ili kuongeza tena hizo hasira kali za BWANA juu ya Israeli.
Tena ni akina nani aliowaapia ya kwamba hawataingia katika pumziko lake, ila wale walioasi?