Lakini huyo kamanda wa askari walinzi akawaacha watu walio maskini ili wawe watunza mizabibu na wakulima.
Isaya 61:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wageni watasimama na kulisha makundi yenu, na watu wa kabila nyingine watakuwa wakulima wenu, na watunzaji wa mizabibu yenu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wageni watakuwa hapo kuwachungia mifugo yenu; watawalimia na kuwatunzia mizabibu yenu. Biblia Habari Njema - BHND Wageni watakuwa hapo kuwachungia mifugo yenu; watawalimia na kuwatunzia mizabibu yenu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wageni watakuwa hapo kuwachungia mifugo yenu; watawalimia na kuwatunzia mizabibu yenu. Neno: Bibilia Takatifu Wageni watayachunga makundi yenu, wageni watafanya kazi katika mashamba yenu, na kutunza mashamba yenu ya mizabibu. Neno: Maandiko Matakatifu Wageni watayachunga makundi yenu, wageni watafanya kazi katika mashamba yenu, na kutunza mashamba yenu ya mizabibu. BIBLIA KISWAHILI Na wageni watasimama na kulisha makundi yenu, na watu wa kabila nyingine watakuwa wakulima wenu, na watunzaji wa mizabibu yenu. |
Lakini huyo kamanda wa askari walinzi akawaacha watu walio maskini ili wawe watunza mizabibu na wakulima.
Na wageni, walioandamana na BWANA ili wamhudumu, na kulipenda jina la BWANA, kuwa watumishi wake; kila aishikaye sabato asiivunje, na kulishika sana agano langu;