Miisho yote ya dunia itakumbuka, Na watu watamrejea BWANA; Jamaa zote za mataifa watamsujudia.
Isaya 42:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na wamtukuze BWANA, Na kutangaza sifa zake visiwani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wote wakaao nchi za mbali, na wamtukuze na kumsifu Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Wote wakaao nchi za mbali, na wamtukuze na kumsifu Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wote wakaao nchi za mbali, na wamtukuze na kumsifu Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Wampe Mwenyezi Mungu utukufu, na kutangaza sifa zake katika visiwa. Neno: Maandiko Matakatifu Wampe bwana utukufu, na kutangaza sifa zake katika visiwa. BIBLIA KISWAHILI Na wamtukuze BWANA, Na kutangaza sifa zake visiwani. |
Miisho yote ya dunia itakumbuka, Na watu watamrejea BWANA; Jamaa zote za mataifa watamsujudia.
Na katika siku hiyo mtasema, Mshukuruni BWANA, liitieni jina lake; Yatangazeni matendo yake kati ya mataifa, Litangazeni jina lake kuwa limetukuka.
Hatazimia, wala hatakata tamaa, hata atakapoweka hukumu duniani; na visiwa vitaingojea sheria yake.
Kwa hiyo mtafanya sanamu za majipu yenu, na sanamu za panya wenu wanaoiharibu nchi; nanyi mtamtukuza huyo Mungu wa Israeli; huenda ataupunguza uzito wa mkono wake juu yenu, na juu ya miungu yenu, na juu ya nchi yenu.