Yamkini BWANA, Mungu wako, atayasikia maneno ya huyo kamanda ambaye mfalme wa Ashuru, bwana wake, amemtuma ili amtukane Mungu aliye hai; na BWANA, Mungu wako atayakemea maneno aliyoyasikia; basi, inua dua yako kwa ajili ya mabaki yaliyobakia.
Isaya 37:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi, watumishi wa mfalme Hezekia wakaenda kwa Isaya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, hao watumishi wa mfalme Hezekia walipokwisha fika kwa Isaya, Biblia Habari Njema - BHND Basi, hao watumishi wa mfalme Hezekia walipokwisha fika kwa Isaya, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, hao watumishi wa mfalme Hezekia walipokwisha fika kwa Isaya, Neno: Bibilia Takatifu Maafisa wa Mfalme Hezekia walipofika kwa Isaya, Neno: Maandiko Matakatifu Maafisa wa Mfalme Hezekia walipofika kwa Isaya, BIBLIA KISWAHILI Basi, watumishi wa mfalme Hezekia wakaenda kwa Isaya. |
Yamkini BWANA, Mungu wako, atayasikia maneno ya huyo kamanda ambaye mfalme wa Ashuru, bwana wake, amemtuma ili amtukane Mungu aliye hai; na BWANA, Mungu wako atayakemea maneno aliyoyasikia; basi, inua dua yako kwa ajili ya mabaki yaliyobakia.
Isaya akawaambia, Mwambieni bwana wenu maneno haya; BWANA asema hivi, Usiyaogope maneno uliyoyasikia, ambayo watumishi wa mfalme wa Ashuru wamenitukana.