Isaya 37:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Njia ile ile aliyoijia, kwa njia hiyo atarudi zake, wala hataingia ndani ya mji huu; asema BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Atarudi kwa njia ileile aliyojia na wala hataingia katika mji huu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimetamka hayo. Biblia Habari Njema - BHND Atarudi kwa njia ileile aliyojia na wala hataingia katika mji huu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimetamka hayo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Atarudi kwa njia ileile aliyojia na wala hataingia katika mji huu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimetamka hayo. Neno: Bibilia Takatifu Kwa njia ile aliyoijia ndiyo atakayorudi; hataingia katika mji huu,” asema Mwenyezi Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa njia ile aliyoijia ndiyo atakayorudi; hataingia katika mji huu,” asema bwana. BIBLIA KISWAHILI Njia ile ile aliyoijia, kwa njia hiyo atarudi zake, wala hataingia ndani ya mji huu; asema BWANA. |
Hutawaona watu wale wakali; watu wa maneno magumu usiyoweza kuyafahamu; wenye lugha ya kigeni usiyoweza kuielewa.
Kwa sababu ya kunighadhibikia kwako, na kwa sababu kutakabari kwako kumefika masikioni mwangu, nitatia kulabu yangu katika pua yako, na hatamu yangu midomoni mwako, nami nitakurudisha kwa njia ile ile uliyoijia.
Nami nitaulinda mji huu, niuokoe kwa ajili yangu mwenyewe, na kwa ajili ya Daudi, mtumishi wangu.