Isaya 28:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maana meza zote zimejaa matapiko na uchafu, hapana mahali palipo safi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Meza zote zimetapakaa matapishi, hakuna mahali popote palipo safi. Biblia Habari Njema - BHND Meza zote zimetapakaa matapishi, hakuna mahali popote palipo safi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Meza zote zimetapakaa matapishi, hakuna mahali popote palipo safi. Neno: Bibilia Takatifu Meza zote zimejawa na matapishi wala hakuna sehemu hata ndogo isiyokuwa na uchafu. Neno: Maandiko Matakatifu Meza zote zimejawa na matapishi wala hakuna sehemu hata ndogo isiyokuwa na uchafu. BIBLIA KISWAHILI Maana meza zote zimejaa matapiko na uchafu, hapana mahali palipo safi. |
na kumbe! Furaha, na kuchekelea, na kuchinja ng'ombe, na kuchinja kondoo, na kula nyama, na kunywa mvinyo; tule, tunywe, kwa maana kesho tutakufa.
na Moabu atagaagaa katika matapiko yake, naye atadhihakiwa. Kwa maana Israeli, je! Hakuwa dhihaka kwako?