Isaya 23:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Pigeni yowe, enyi merikebu za Tarshishi; maana ngome yenu imefanywa ukiwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Pigeni yowe enyi meli za Tarshishi, maana kimbilio lenu limeharibiwa. Biblia Habari Njema - BHND Pigeni yowe enyi meli za Tarshishi, maana kimbilio lenu limeharibiwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Pigeni yowe enyi meli za Tarshishi, maana kimbilio lenu limeharibiwa. Neno: Bibilia Takatifu Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi; ngome yenu imeangamizwa! Neno: Maandiko Matakatifu Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi; ngome yenu imeangamizwa! BIBLIA KISWAHILI Pigeni yowe, enyi merikebu za Tarshishi; maana ngome yenu imefanywa ukiwa. |
Ufunuo juu ya Tiro. Toeni sauti za uchungu, enyi merikebu za Tarshishi, kwa maana umeharibika kabisa, hata hapana nyumba, hapana mahali pa kuingia; toka nchi ya Kitimu wamefunuliwa habari.