Naye atanyosha mikono yake katikati yake, kama vile aogeleaye anyoshavyo mikono yake ili aogelee, naye atashusha kiburi chake, pamoja na hila za mikono yake.
Isaya 2:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na juu ya kila mnara mrefu, na juu ya kila ukuta ulio na boma; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema dhidi ya minara yote mirefu, dhidi ya kuta zote za ngome; Biblia Habari Njema - BHND dhidi ya minara yote mirefu, dhidi ya kuta zote za ngome; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza dhidi ya minara yote mirefu, dhidi ya kuta zote za ngome; Neno: Bibilia Takatifu kwa kila mnara ulio mrefu sana na kila ukuta wenye ngome, Neno: Maandiko Matakatifu kwa kila mnara ulio mrefu sana na kila ukuta wenye ngome, BIBLIA KISWAHILI na juu ya kila mnara mrefu, na juu ya kila ukuta ulio na boma; |
Naye atanyosha mikono yake katikati yake, kama vile aogeleaye anyoshavyo mikono yake ili aogelee, naye atashusha kiburi chake, pamoja na hila za mikono yake.
Na boma la ngome ya kuta zako ameliinamisha, na kulilaza chini, na kulitupa chini hadi mavumbini.
Na juu ya kila mlima mrefu, na juu ya kila kilima kilichoinuka, itakuwapo mito na vijito vya maji, katika siku ya machinjo makuu itakapoanguka minara.