Isaya 10:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Madmena ni mkimbizi; wenyeji wa Gebimu wamejikusanya wakimbie; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wa Madmena wako mbioni, wakazi wa Gebimu wanakimbilia usalama. Biblia Habari Njema - BHND Watu wa Madmena wako mbioni, wakazi wa Gebimu wanakimbilia usalama. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wa Madmena wako mbioni, wakazi wa Gebimu wanakimbilia usalama. Neno: Bibilia Takatifu Madmena inakimbia; watu wa Gebimu wanajificha. Neno: Maandiko Matakatifu Madmena inakimbia; watu wa Gebimu wanajificha. BIBLIA KISWAHILI Madmena ni mkimbizi; wenyeji wa Gebimu wamejikusanya wakimbie; |
siku hii ya leo atasimama huko Nobu; anatikisa mkono wake juu ya mlima wa binti Sayuni, mlima wa Yerusalemu.