tangu waliopata umri wa miaka thelathini na zaidi, hata umri wa miaka hamsini utawahesabu; wote watakaoingia kutumika, ili kufanya kazi katika hema ya kukutania.
Hesabu 8:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC tena tangu waliopata umri wa miaka hamsini wasiendelee kuhudumu tena; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na kustaafu afikishapo umri wa miaka hamsini. Biblia Habari Njema - BHND na kustaafu afikishapo umri wa miaka hamsini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na kustaafu afikishapo umri wa miaka hamsini. Neno: Bibilia Takatifu lakini watakapofika umri wa miaka hamsini, ni lazima waache kazi zao za kawaida wala wasiendelee. Neno: Maandiko Matakatifu lakini watakapofika umri wa miaka hamsini, ni lazima waache kazi zao za kawaida wala wasiendelee. BIBLIA KISWAHILI tena tangu waliopata umri wa miaka hamsini wasiendelee kuhudumu tena; |
tangu waliopata umri wa miaka thelathini na zaidi, hata umri wa miaka hamsini utawahesabu; wote watakaoingia kutumika, ili kufanya kazi katika hema ya kukutania.
Mambo yawapasayo hao Walawi ni haya; tangu waliopata umri wa miaka ishirini na mitano na zaidi wataingia ndani ili wahudumu katika hema ya kukutania;
lakini watawasaidia na ndugu zao katika hema ya kukutania, kufanya kazi zao, lakini wasitumike katika huo utumishi tena. Ndivyo utakavyowafanyia Walawi katika mambo ya ulinzi wao.